Kumbukumbu La Sheria 22:29 Biblia Habari Njema (BHN)

mwanamume huyo atamlipa baba yake msichana huyo vipande hamsini vya fedha kwa sababu amemnajisi, na msichana huyo atakuwa mke wake, wala hana ruhusa ya kumwacha maisha yake yote.

Kumbukumbu La Sheria 22

Kumbukumbu La Sheria 22:26-30