Kumbukumbu La Sheria 22:27 Biblia Habari Njema (BHN)

mwanamume huyo alimshika kwa nguvu huyo msichana huko mbugani, na ingawa alipiga kelele kuomba msaada hapakuwa na mtu wa kumsaidia.

Kumbukumbu La Sheria 22

Kumbukumbu La Sheria 22:22-30