Kumbukumbu La Sheria 22:24 Biblia Habari Njema (BHN)

mtawatoa wote wawili nje ya mji na kuwapiga mawe mpaka wafe. Msichana huyo lazima auawe kwa kuwa hakupiga kelele asaidiwe ingawa alikuwa mjini; naye mwanamume lazima auawe kwa kuwa amemchafua mchumba wa jirani yake. Ndivyo mtakavyokomesha uovu huo miongoni mwenu.

Kumbukumbu La Sheria 22

Kumbukumbu La Sheria 22:18-29