Kumbukumbu La Sheria 21:23 Biblia Habari Njema (BHN)

maiti yake isiachwe mtini usiku wote, bali mtaizika siku hiyohiyo. Maana mtu aliyenyongwa amelaaniwa na Mungu nanyi hamtaitia najisi nchi yenu mliyopewa na Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, iwe mali yenu.

Kumbukumbu La Sheria 21

Kumbukumbu La Sheria 21:14-23