Kumbukumbu La Sheria 21:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Lazima amkubali yule mzaliwa wa kwanza, mtoto wa yule mwanamke asiyependwa, na kumpa haki yake: Sehemu ya mali zake mara mbili.

Kumbukumbu La Sheria 21

Kumbukumbu La Sheria 21:14-23