Kumbukumbu La Sheria 21:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mtu akipatikana ameuawa mbugani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni muimiliki, nanyi hamjui ni nani aliyemuua,

Kumbukumbu La Sheria 21

Kumbukumbu La Sheria 21:1-10