Kumbukumbu La Sheria 20:19 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mkiuzingira mji kwa muda mrefu, mkapigana kuuteka, msiiharibu miti ya matunda kwa mashoka. Je, miti ni watu hata muishambulie? Mnaweza kula matunda ya miti hiyo, lakini msiikate.

Kumbukumbu La Sheria 20

Kumbukumbu La Sheria 20:11-20