Kumbukumbu La Sheria 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Usiwasumbue watu wa Moabu, wala usipigane nao maana sitawapeni sehemu yoyote ya nchi yao. Ila eneo hilo la Ari nimewapa hao wazawa wa Loti liwe mali yao.’

Kumbukumbu La Sheria 2

Kumbukumbu La Sheria 2:6-14