Kumbukumbu La Sheria 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)

msipigane nao kwa sababu sitawapeni sehemu yoyote ya nchi yao. Sitawapeni hata mahali padogo pa kukanyaga. Nchi hiyo ya milima ya Seiri nimewapa wazawa wa Esau iwe mali yao.

Kumbukumbu La Sheria 2

Kumbukumbu La Sheria 2:1-13