Kumbukumbu La Sheria 2:31 Biblia Habari Njema (BHN)

“Halafu Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Tazama, nimeanza kumtia mfalme Sihoni na nchi yake mikononi mwenu; anzeni kuichukua nchi yake na kuimiliki’.

Kumbukumbu La Sheria 2

Kumbukumbu La Sheria 2:28-37