Kumbukumbu La Sheria 2:29 Biblia Habari Njema (BHN)

tuvuke mto Yordani na kuingia katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu anatupatia. Wazawa wa Esau wanaoishi Seiri na Wamoabu waishio Ari walituruhusu pia kupita katika nchi yao’.

Kumbukumbu La Sheria 2

Kumbukumbu La Sheria 2:24-36