Kumbukumbu La Sheria 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mwenyezi-Mungu akatuambia: ‘Ondokeni sasa, mvuke kijito Zeredi’. Basi, tukavuka kijito cha Zeredi.

Kumbukumbu La Sheria 2

Kumbukumbu La Sheria 2:8-23