Kumbukumbu La Sheria 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kisha, tuligeuka, tukasafiri jangwani kwa kupitia njia ya Bahari ya Shamu, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniambia; tulitangatanga karibu na mlima Seiri kwa muda mrefu.

Kumbukumbu La Sheria 2

Kumbukumbu La Sheria 2:1-10