Kumbukumbu La Sheria 19:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa mfano, mtu aendaye na mwenzake msituni kukata kuni naye wakati anakata mti, shoka likachomoka kutoka kwenye mpini wake, likamuua yule mwingine, mtu huyo anaweza kukimbilia kwenye mji mmojawapo, akayaokoa maisha yake.

Kumbukumbu La Sheria 19

Kumbukumbu La Sheria 19:1-10