Kumbukumbu La Sheria 19:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtatengeneza barabara na kugawa katika sehemu tatu nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapatia muimiliki ili kila anayemuua mtu bila kukusudia apate kukimbilia huko.

Kumbukumbu La Sheria 19

Kumbukumbu La Sheria 19:1-10