Kumbukumbu La Sheria 19:15 Biblia Habari Njema (BHN)

“Ushahidi wa mtu mmoja hautoshi kumhukumu mtu juu ya kosa lolote la jinai au uovu kuhusu kosa lolote alilofanya. Ni ushahidi wa watu wawili au watatu tu ndio utakaothaminiwa.

Kumbukumbu La Sheria 19

Kumbukumbu La Sheria 19:6-16