Kumbukumbu La Sheria 19:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Msimwonee huruma, bali mtaukomesha uovu wa mauaji ya mtu asiye na hatia katika Israeli, ili mpate kuishi kwa amani.

Kumbukumbu La Sheria 19

Kumbukumbu La Sheria 19:6-21