Kumbukumbu La Sheria 18:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Katika makabila yenu yote, Mwenyezi-Mungu amechagua kabila la Walawi limtumikie kama makuhani milele.

Kumbukumbu La Sheria 18

Kumbukumbu La Sheria 18:1-13