Kumbukumbu La Sheria 18:3 Biblia Habari Njema (BHN)

“Na hii itakuwa haki ya makuhani kutoka kwa watu wanaotoa sadaka iwe ni ng'ombe au kondoo: Watampa kuhani mguu wa mbele, mashavu na matumbo.

Kumbukumbu La Sheria 18

Kumbukumbu La Sheria 18:1-10