Kumbukumbu La Sheria 18:14 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mataifa haya ambayo mtaimiliki nchi yao hufuata maongozi ya waaguzi na wapiga ramli; lakini Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu hawaruhusu nyinyi kufanya hivyo.

Kumbukumbu La Sheria 18

Kumbukumbu La Sheria 18:13-16