Kumbukumbu La Sheria 18:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana yeyote atendaye mambo haya ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu; na kwa ajili ya mambo haya ya kuchukiza, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawafukuza watu wa namna hiyo mbele yenu.

Kumbukumbu La Sheria 18

Kumbukumbu La Sheria 18:3-15