Kumbukumbu La Sheria 17:3 Biblia Habari Njema (BHN)

naye amekwenda na kuitumikia miungu mingine na kuiabudu, akaabudu hata jua, mwezi au vitu vingine vya mbinguni ambavyo sikuagiza viabudiwe,

Kumbukumbu La Sheria 17

Kumbukumbu La Sheria 17:1-8