Kumbukumbu La Sheria 17:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Atakapokuwa amekalia kiti cha ufalme lazima afanye nakala ya sheria hii iandikwe mbele ya makuhani wa Kilawi.

Kumbukumbu La Sheria 17

Kumbukumbu La Sheria 17:17-20