Kumbukumbu La Sheria 17:14 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mtakapokwisha ingia katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapeni, mkaimiliki na kukaa humo, nanyi mkasema, ‘Tutaweka mfalme juu yetu, kama mataifa yote yanayotuzunguka;’

Kumbukumbu La Sheria 17

Kumbukumbu La Sheria 17:11-17