Kumbukumbu La Sheria 16:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu; na mnamo siku ya saba utakuwapo mkutano mkubwa wa kumwabudu Mwenyezi-Mungu, na msifanye kazi yoyote siku hiyo.

Kumbukumbu La Sheria 16

Kumbukumbu La Sheria 16:4-17