Kumbukumbu La Sheria 16:6 Biblia Habari Njema (BHN)

bali mtaitolea pale mahali ambapo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atapachagua likae jina lake, hapo ndipo mtakapotolea sadaka ya Pasaka jioni, jua linapotua, wakati uleule mlipotoka Misri.

Kumbukumbu La Sheria 16

Kumbukumbu La Sheria 16:5-8