Kumbukumbu La Sheria 16:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtatoa sadaka ya Pasaka kutoka mifugo yenu ya kondoo au ng'ombe kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu mahali ambapo Mwenyezi-Mungu atachagua likae jina lake.

Kumbukumbu La Sheria 16

Kumbukumbu La Sheria 16:1-10