Kumbukumbu La Sheria 16:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtafanya sherehe hiyo, nyinyi na watoto wenu wa kiume na wa kike, watumishi wenu, Walawi, wageni, yatima na wajane ambao huishi katika miji yenu.

Kumbukumbu La Sheria 16

Kumbukumbu La Sheria 16:11-22