Kumbukumbu La Sheria 16:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Halafu mtaadhimisha sikukuu ya majuma kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kutoa sadaka ya hiari, mtakayotoa kadiri awabarikiavyo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

Kumbukumbu La Sheria 16

Kumbukumbu La Sheria 16:8-15