Kumbukumbu La Sheria 15:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Badala yake, fumbueni mikono yenu na kumkopesha kwa hiari kiasi cha kutosha mahitaji yake.

Kumbukumbu La Sheria 15

Kumbukumbu La Sheria 15:1-14