Kumbukumbu La Sheria 15:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Utamla mnyama wa namna hiyo ukiwa katika mji wako; pia wote walio safi na wasio safi wanaweza kumla kama unavyokula paa au kulungu.

Kumbukumbu La Sheria 15

Kumbukumbu La Sheria 15:14-23