Kumbukumbu La Sheria 15:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Hivi ndivyo mtakavyofanya: Kila mmoja aliyemkopesha jirani yake, alifute hilo deni, wala asijaribu kumdai kwa sababu Mwenyezi-Mungu mwenyewe ameamua deni hilo lifutwe.

Kumbukumbu La Sheria 15

Kumbukumbu La Sheria 15:1-8