Kumbukumbu La Sheria 14:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Pia msile nguruwe, maana ijapokuwa kwato zake zimegawanyika sehemu mbili, yeye hacheui; hao ni najisi kwenu, msile nyama zao wala msiguse mizoga yao.

Kumbukumbu La Sheria 14

Kumbukumbu La Sheria 14:1-17