Kumbukumbu La Sheria 14:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Na kila mwisho wa mwaka wa tatu toeni zaka ya mazao yenu yote na kuyaweka akiba katika miji yenu.

Kumbukumbu La Sheria 14

Kumbukumbu La Sheria 14:22-29