Kumbukumbu La Sheria 14:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Nyinyi ni watu watakatifu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; Mwenyezi-Mungu amewachagua muwe watu wake hasa, kati ya watu wote waishio duniani.

Kumbukumbu La Sheria 14

Kumbukumbu La Sheria 14:1-7