Kumbukumbu La Sheria 12:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Msimwabudu hivyo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa maana kila chukizo ambalo Mwenyezi-Mungu hapendi, wameifanyia miungu yao; hata wamewachoma motoni watoto wao wa kiume na wa kike, ili kuitambikia miungu yao.

Kumbukumbu La Sheria 12

Kumbukumbu La Sheria 12:27-32