Kumbukumbu La Sheria 12:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Zivunjilieni mbali madhabahu zao na kuzibomoa kabisa nguzo zao. Ziteketezeni kwa moto sanamu zao za Ashera na kuzikatakata sanamu zao za kuchonga na kufutilia mbali jina lao na mahali hapo.

Kumbukumbu La Sheria 12

Kumbukumbu La Sheria 12:1-13