Kumbukumbu La Sheria 12:14 Biblia Habari Njema (BHN)

bali katika mahali atakapopachagua Mwenyezi-Mungu katika mojawapo ya makabila yenu. Hapo ndipo mtakapotoa sadaka zenu za kuteketezwa, na ndipo mtakapofanyia mambo yote niliyowaamuru.

Kumbukumbu La Sheria 12

Kumbukumbu La Sheria 12:12-20