Kumbukumbu La Sheria 12:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini mtakapovuka mto Yordani na kuishi katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa mu irithi, na atakapowapatia pumziko msisumbuliwe na adui zenu wote watakaowazunguka ili muishi salama,

Kumbukumbu La Sheria 12

Kumbukumbu La Sheria 12:6-14