Kumbukumbu La Sheria 11:4 Biblia Habari Njema (BHN)

aliyoyatendea majeshi ya Misri, farasi wao na magari yao ya vita, jinsi alivyozamisha jeshi hilo katika bahari ya Shamu, na jinsi Mwenyezi-Mungu alivyoliangamiza hata hivi leo.

Kumbukumbu La Sheria 11

Kumbukumbu La Sheria 11:1-14