Kumbukumbu La Sheria 11:28 Biblia Habari Njema (BHN)

na laana, kama hamtazitii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuiacha njia ninayowaamuru, mkaabudu miungu mingine ambayo hata hamjawahi kuijua.

Kumbukumbu La Sheria 11

Kumbukumbu La Sheria 11:18-32