Kumbukumbu La Sheria 11:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Fikirini kwa makini, kwa sababu ya watoto wenu ambao hawakujua wala hawakuona adhabu ya Mwenyezi-Mungu, uwezo wake na nguvu zake,

Kumbukumbu La Sheria 11

Kumbukumbu La Sheria 11:1-9