Kumbukumbu La Sheria 11:18 Biblia Habari Njema (BHN)

“Yawekeni maneno yangu haya mioyoni mwenu na rohoni mwenu. Yafungeni mikononi mwenu kama alama na kuyavaa katika paji la uso.

Kumbukumbu La Sheria 11

Kumbukumbu La Sheria 11:9-22