Kumbukumbu La Sheria 11:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa kuwa nchi mnayokwenda kuimiliki si kama nchi ya Misri mlikotoka, ambako mlipanda nafaka, mkamwagilia maji kwa miguu kama mashamba ya mboga.

Kumbukumbu La Sheria 11

Kumbukumbu La Sheria 11:9-18