Kumbukumbu La Sheria 10:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati huo, Mwenyezi-Mungu aliwateua watu wa kabila la Lawi wawe wakilibeba sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu, wamtumikie kama makuhani na kubariki watu kwa jina lake hata hivi leo.

Kumbukumbu La Sheria 10

Kumbukumbu La Sheria 10:6-13