Kumbukumbu La Sheria 1:38 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini msaidizi wako Yoshua mwana wa Nuni, ataingia humo. Basi, mtie moyo kwani yeye atawaongoza watu wa Israeli waimiliki nchi hiyo’.

Kumbukumbu La Sheria 1

Kumbukumbu La Sheria 1:35-46