Kumbukumbu La Sheria 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Siku ya kwanza ya mwezi wa kumi na moja, mwaka wa arubaini, baada ya kutoka Misri, Mose aliwaambia watu kila kitu ambacho Mwenyezi-Mungu alimwamuru awaambie.

Kumbukumbu La Sheria 1

Kumbukumbu La Sheria 1:1-5