Kumbukumbu La Sheria 1:22 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kisha nyote mlikuja karibu nami mkaniambia, ‘Tutume watu watutangulie, waipeleleze nchi, halafu warudi kutujulisha njia bora ya kufuata na miji ipi tutaikuta huko.’

Kumbukumbu La Sheria 1

Kumbukumbu La Sheria 1:12-32