Isaya 9:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Manase dhidi ya Efraimu,Efraimu dhidi ya Manasena wote wawili dhidi ya Yuda.Hata hivyo, hasira ya Mwenyezi-Mungu haijatulia,bado ameunyosha mkono wake.

Isaya 9

Isaya 9:16-21