Kwa ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu wa majeshinchi imechomwa moto,na watu ni kama kuni za kuuwasha.Hakuna mtu anayemhurumia ndugu yake;